Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Nilianza kama utani kumbe kweli, kama mnakumbuka Kuna uzi niliwahi kuwaambia Kwa mara ya kwanza nililala na bongo fleva. Ipo hivi, MIMI nipo Mwanza city juzi nilipata namba yake kwa yule msanii wa bongo fleva niliyemgonga mwaka jana, aliponipa namba akanipa na mbinu za kivita jinsi ya kupambana na huyu mrembo mwenye shepu nzito na ziwa la maana, mwenye biashara zake za urembo mjini. Anauza mawigi, kucha na kuweka kope duka lake lipo Mbezi Beach
Nimemaliza kila kitu na kesho anafika jiji la Mwanza kunitunuku papuchi. Sasa shida ipo kwenye kutafuta sehemu nzuri zaidi ya Malaika. Anyway nitaenda nae Tilapia angalau Kwa Ile hotel tutaenjoy. Malipo yake ni ya kawaida tu ila bila kuwa na code za watoto wa mjini hata useme una million kumi humpati ng'oo.
Alikujaga kunivutia zaidi kwenye Ile nyimbo ya jeshi "Bed room". Ngoja nilale zangu kesho nitawapa mrejesho