Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Aisee Hao jamaa walikuwa balaa bataz refu sana,gari za kimarekani plate number ni Richard Texas kweli hakuna marefu yasiyo na ncha.
Linah si anafuga kware!? basi zitakuwa zinalipa.Linnah na William boss mutoto
Linah si anafuga kware!? basi zitakuwa zinalipa.
kawa mjasiriamali wa kuuza mayai ya kwale.Hebu funguka zaidi anafuga kware kivipi???
Gk na Fetty no way...
Au wamfananisha Diva loveness wa Ala za Roho maana ye ndio alikua anatoka na GK sijui bado wanaendelea
Baby_ake na Diamond
Jacqueline Ntuyabaliwe na bwana Machache
Cynthia Masasi & Richard Mziray
Kwi kwi kwi u made my day!
Andika Mirathi mapema
nawatakia safar ya matumain ;madame B en Shark..?!
Hahahaha kabinti kenyewe ovyo kweli
Dah na kuna v12 moja hivi s600 plate number I'm rich dah kweli hakuna marefu yasiyo na ncha