JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
Mwanasheria Albert Msando ambaye alipata ummarufu kupiti CHADEMA alipo ukwaa udiwani wa moshi na kupata shavu kadhaa za uwakili sasa ameonesha nyodo za kutosha kupitia ukurasa wake wa instagram kwa kutupia picha mbalimbali za magari yake na mijengo yake na kuwatupia vijembe vijana wengine ambao bado wanasota vijiweni choka mbaya wajifunze kwa kutamani mafanikio yake.
pia amekuwa akiwaponda vijana wa kishua ambao kucha kutupia picha za magari ya baba zao na nyumba za baba zao kwani hata yeye anazo.
Kwa anayejua siri ya mafanikio ya huyu jamaa atusaidie kwani hata mimi ni lawyer ila nasota kesi za kuku na hata baskeli sina. Wabongo hawakawii ohh ugali huo, mara escrow.....
kufuru
Update : Anaye post Vya Baba yake..