JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
- Thread starter
-
- #221
I like flashy life
But not using it by moking some one who is below my class
Mungu muumbaji hapendi
BTW hivi kila mtu mwenye hela huko insta akisema aanzishe balaa huyu wakili wetu mjanja ataweza kuhimili mtiti.
Ni upuuzi but for mediocre its classic.
hahahaaa imagine Rugemalila anavyogawa mabilioni yake kwa mavi mavi angeamua kupiga nazo picha zile biilioni 1.6 alizompa chenge na 1.6 alizompa tiba,then apige picha na zile USD $78 million alizolipwa escrow sijui kama pangetosha insta. Au mohamed dewji na mengi wapige picha na mabillion ya dollar walizo nazo sizani kama Gavana benno ndulu ana izo hela reserve za kuwapatatia kwa muda watakaotaka kupiga nazo picha fweza zao. Na ukizingatia hapa hakuna hata nyani moja anayefahamu gari la mengi hata moja linafananaje