Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru

Status
Not open for further replies.
geti angri au geti inspayadiiiiiiiiii mazafantaaaaaaaaaaaaa
ndo kauli mbiu ya mwaka huuu raisi wa wabeba baxi
kama hutaki kunya tikiti nyambaaaaaaf

We jinga lazima utakuwa unanikubali kisiri siri maana huchoki kutafuta attention toka kwangu kwenye thread mbalimbali.

Mara unitaje taje mara uninukuu....ili mradi tu upate attention yangu.

I get it. You want to be my lil groupie. But too bad coz I don't do that shit.

So you got two choices: eat a dick or go https://jamii.app/JFUserGuide yourself.

Choose one, ho.

*Ushawekwa ignore list, btw*
 
Only in bongo mtu anaweza kujisifia kwa vibenzi vya tangu enzi za Nyerere ambavyo sehemu nyingine haviruhusiwi hata kuwa taxi kwa sababu vimezeeka sana.

Halafu watu hawaelewi tofauti ya asset na liability.

Sasa huyu angekuwa na Porsche Macan Turbo 2015 kama ya my dude mngesemaje?

Cc Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:

Ebana Maserati Ghibli unaionaje?

Hiyo kidogo naona iko kwenye range ya affordability kwa akina sisi.....
 
Ebana Maserati Ghibli unaionaje?

Hiyo kidogo naona iko kwenye range ya affordability kwa akina sisi.....

Nimeyaona machache mtaani. Looks suave.

Ila bongo ukiwa nalo hilo hawachelewi kukuita Freemason.
 
hehehehhe wenzako tushakua inspired we u still angry manina kuna mtu alikutuma ukimbilie ughaibuni?
is his how u persieve life ?what a shame dude
eti nakukubali mtu kucomment kwenye post unajina maarufu duu madiasipora mna tabu ukiongea utumbo unataka tujichekeshe?mavi weeeeeeee hapa fagio la chuma
anyway kila la kheri
geti angri au geti inspayadiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Ebana Maserati Ghibli unaionaje?

Hiyo kidogo naona iko kwenye range ya affordability kwa akina sisi.....

magari yenyewe mnayaona kwenye tv tu hata barabarani si ajabu hamjawah pishana nayo sa mkibahatisha kumiliki je si mtaiua jf yetu kwa kujisifia au?
Porsche Macan Turbo 2015 like serious?
huna batavuzi unawaza porsche?
dharau za ajabu snaa hzo mwacheni msando awainspire vijana nyie endeleeni kubeba boxi mpaka mzeeke kwani dhambi basi

geti angrii au geti inspayadiiiiiiiiiiiiiiiiiii kauli mbiu ya 2015
 

Watanzania hatujui tajiri ni nani, ukiwa na mitumba yako mitatu ya kubadilisha unapoenda kazini tunasema na wewe ni tajiri, Hizi takataka wanazonunua ni liability kwao lakini hawajui, maintanance ya magari ya mitumba ni kubwa sana, gharama za kulinda umaarufu wao ni kubwa sana hawajui hata wanachofanya. Hizi pesa zao ndogo wangewekeza wakatuonyesha productive ventures au share certificates ingekuwa vizuri sana. wanaonyesha vitu vinavyokula pesa kila siku badala ya kuingiza pesa halafu unasema mimi ni tajiri
 
Stress za kazi gani hizo? Kubeba boksi? Hahahahaaaaa

Yaani kama test ya uzima wetu ingekuwa kukimbia round moja kwenye uwanja wa Taifa mbona wengi hawatamudu. Ila kila uchao kukimbizana na mabinti warembo. sijui wanafanya nao nini
 
Idea ya albert ni nzuri, anajaribu inspire vijana kufight wakiwa bado vijana na sio kutegemea ulithi wa dady n mamy.. mie nimekuwa inspired
 

#patahasira au #hamasika
 

Wewe sasa hivi unamiliki gari gani? Naona unatoa povu woakati umekaa kwenye burnsen burner ya dala dala #getinspired
 

nimeona moja nyeupeee kwenye parking za shoppers supermarket dar!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…