Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru

Status
Not open for further replies.
Hahahahahahahaaa, ila unajua huwa inauma sana unasepa zako unyamwezini halafu unasikia mchizi back home made it big time kibongobongo sio lazima afanane na PDIDDY lakini ile sana tu, lazima utoe povu, kijana yupo vizuri sana na hata Cessna anamiliki sasa kama wewe unaona sio mafanikio kula ndimu! Ila hata huko mtoni mkwanja alionao anaishi fresh tu hashindwi kununua nyumba hata ya dola laki sita ambayo ni sehemu nzuri tu ambayo ni dream kwa mbeba box. lets be honest wazee!
 
Tanzania level ya mtu kuitwa 'tajiri' inategemea kiwango cha umaskini cha walio mzunguka
go figure

Uko sawa kabisa. Kijijini kwetu mtu akiwa na ng'ombe mia ni tajiri sana. Kwa hivyo vijumba na vigari taka , huyo hawezi hata kujadiwa. He is just a petty middle class. Mleta uzi yuko kiswazi sana.
 
The guy is rich enough to show us what's he own.no comment

Sasa watamjuaje huko instagram? Huo ni mtandao wa kuonesha uavaaje, unaishije, unamapozi gani na drama zingine.
 
Kwa maisha ya Msando kuna wabeba box kibao hawawezi kumfikia hadi wengine wanafikia nyumban wakitoka. Nina uhakika hiyo range wengine huko huko mnaishia kuiona kwa watu.

Range gari ya kutengenezwa na TATA wahindi watu washaacha kutumia siku hizi. Tumewaachia hoi polloi, gari tulikuwa tunatumia 1995 Range Rover Vogue wakati inatengenezwa na Muingereza ina heshima yake.

Hata baby mama kumnunulia ni kama unamtusi vile.

Sema jingine.
 

Teh,safi sana.... nakusubilia hapa ukishavipata kama hivyo usisahau kunipitia hapa
 
Chezea kubeba box halafu mwenzio umemuacha bongo unasikia ana mchuzi mrefu hata kama sio bilionea in terms of bilione wa ulaya, we unaishia kurudi na raba, jeans na ipad!!!!! Lazima ikuume! ASHKI MAJINUNI

Bongo hivi hiyo mi Range ikikongoroka washapata sehemu ya kutengenezea hapo?

Nakumbuka back in the nineties Range likiharibika vifaa mpaka Nairobi.
 

Inaweza kuuma kama ulienda Unyamwezini kutafuta maisha lakini kama maisha ndo yalikupeleka huko hakuna cha kuuma.
 
🙊🙊🙊 hahahahahaha aisee amu umepona kwa hilo jembe?


Mjini wanaume ni wale wale halafu wanaume wa chugga washamba sana wakija dar kila mwanamke wanataka kumfunua.
Ila siyo mimi ni hafsa na shamsa ndo waliniambia...wakarudi na ukame wao..
 
Last edited by a moderator:
unauliza majibu?

Halafu wewe...
Yeye anamiliki sijui vidude gani hivyo vya chini mie nina private jet range 3.
At the age of 27.
Sasa hatuwezi kuonana yeye anatembea chini mimi juu..
Sema hivyo videm vyake ninavyowapa lift ndo wananiambia.
 
Range mbona ziko kibao hata hapo kona chini ya mti wanatengeneza. Shida huyu dogo nae ana range ya 2014 bwana ndo inatutoa roho hapa.

Halafu Paw nae bwana, hela ya escrow haijampitia hata kabilioni kamoja. Hapa ni #jotohasira tu.


Bongo hivi hiyo mi Range ikikongoroka washapata sehemu ya kutengenezea hapo?

Nakumbuka back in the nineties Range likiharibika vifaa mpaka Nairobi.
 
Last edited by a moderator:
Range mbona ziko kibao hata hapo kona chini ya mti wanatengeneza. Shida huyu dogo nae ana range ya 2014 bwana ndo inatutoa roho hapa.

Halafu Paw nae bwana, hela ya escrow haijampitia hata kabilioni kamoja. Hapa ni #jotohasira tu.

Range za 2014 si ndiyo hizi za Wahindi wa TATA? Injini ya Ford Explorer?

Nani anataka takataka za TATA?

Watu tumetumia Range wakati bado Range, Vogue, mid nineties. Hizi Range za TATA kama nilivyosema hapo mwanzo hata kumtumia honey zawadi ya Christmas ni kashfa.
 
Bwana weeh, ndo hivyo hivyo. Nimeona watu wanararuana abt Versace feki huko insta. Wamempivia mu hesabu juu hadi chini wakaamua hii jumla haiwezi atakuwa anavaa mchina.

Anyways, kama ndo anapofikia kujikuna no sawa kwangu. Baby walker yangu inanipeleka kila nitakapo until i can afford baiskeli.

 
Halafu wewe...
Yeye anamiliki sijui vidude gani hivyo vya chini mie nina private jet range 3.
At the age of 27.
Sasa hatuwezi kuonana yeye anatembea chini mimi juu..
Sema hivyo videm vyake ninavyowapa lift ndo wananiambia.

Una wivu wewe. Ukizeeka lazima uwe mchawi, halafu ulivyo na bahati mbaya madereva boda boda tu na wapiga debe ndio wanakutokea, pole sana
 

You got jokes.

Tanzanians hyperventilate over non issues.

Tell me he has a crib up in Malibu like a Nguema, then you will have my attention.

Hivi vigari vinavyo depreciate value with each passing year mtu aliyesoma na kuelewa asset ni nini na liability ni nini hawezi kuvisema kama jambo la msingi.

Labda kama kakulia kwenye shida na habari za Range Rover ni za ajabu.
 

aisee!! kumbe range takataka?

huku Namtumbo ukiwa nayo hiyo polisi wanaweza kukusindikiza uendako?

ila Mkuu Tuache masikhara!! yaani hiyo ndinga ni takataka huku bongo au hadi huko kwenu Mbele?
 
Hehehe i can turn my mourning into a hearty laugh.

Huyo wanaemuongelea anaweza akapost kitanda anacholalia. Sijui ana udugu na mayweather? If you are able to laugh at everything including yourself, maisha yanakuwa matamu haswaa.

Happy holidays rafiki
You got jokes.

Tanzanians hyperventilate over non issues.

Tell me he has a crib up in Malibu like a Nguema, then you will have my attention.
 
Range mbona ziko kibao hata hapo kona chini ya mti wanatengeneza. Shida huyu dogo nae ana range ya 2014 bwana ndo inatutoa roho hapa.

Halafu Paw nae bwana, hela ya escrow haijampitia hata kabilioni kamoja. Hapa ni #jotohasira tu.



ume get angry au ume get inspired?
 
Last edited by a moderator:
Watz bwana ! Kuwa inspired kwa lipi?

Mtu hamjui alivyopata mali tunataka kumsifia hata wazee wetu hapa walipofika imewachukua muda huyu katoa wapi mali haraka.
Of course sioni mantiki yoyote kupost magari na pesa watoto wakishika sidhani kama inawapa watotk wake impression nzuri baadaye.
Jamaa pamoja ni lawyer ila hapo amebugi.
Nawashauri msiangalie magari ya watu ba majumba. Mtaishia kufilisi serikali na makampuni ya watu kisa kushindana na msando.
Mwombe Mola wako ufanikiwe lakni sio kushindana na mtu.
Hatuwezi wote tukawa juu kwa wakati moja. Kutesa kwa zamu wakuu!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…