Celebrity ni kitu gani?

kanone

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2013
Posts
6,188
Reaction score
1,576
Wanajv naomba msaada was ufaamu celebrity no kitu gan Mimi sielewi japo nasikia wengi wsnasema celebrity
 
Wanajv naomba msaada was ufaamu celebrity no kitu gan Mimi sielewi japo nasikia wengi wsnasema celebrity

Selebrite ni aina mpya ya mlenda uliochanganywa na nazi. Ni mtamu huo we acha tu. Umefunga lakini ?!!
 
Celebrity -mburudishaji maarufu ktk nyanja husika.mfano mcheza mpira,mwanamuziki,bondia,mtangazaji etc.na mifano ya celebrities ni wema sepetu,diamond,cristiano ronaldo,mayweather!
Mwingne anaweza kuongezea!
 
Mchoyo wa "LIKE" wewe. geniveros njoo unigongee like.

Hahahahahahh unapenda sana kugongewa hiyo makitu mkuu? Wengine hatuipati kirahisi mpaka tufike kule Full site amboko kwasasa ni shida tupu kwa Operamin mpaka uende ku-browse ndio unapata jambo ambalo ni shughuli sana.!!

Anyway like ya kinywa ni tamu zaidi ya kugonga!

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Kimada wa mwanamuziki ni celebrity, malaya kiwango ni celebrity, michicha miba iliyojirani na hawala wa mwanamuziki nao celebrity. Kuna mengi sana hapa bongo.
 
is fame and public attention in the media, usually applied to a person, or group of people (celebrity couple, family etc.), or occasionally, to animals or fictional entities. Celebrity status is often associated with wealth (commonly referred to as fame and fortune) and fame can often provide opportunities to make money.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…