Celina Kombani live Star tv - Katiba Mpya

Celina Kombani live Star tv - Katiba Mpya

kapotolo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2010
Posts
3,727
Reaction score
2,217
Anaeweza afuatilie wana JF, tuone kama amekuja na jipya.
 
Akumbuke kwamba katiba ni ya wananchi na si ya CCM kama anavyoonekana kuitetea!!
 
Karudi tena! Alikuwepo pale na AG Werema wiki chache zilizopita. Wamsome Jenerali kwenye RaiaMwema Jumatano mbili zilizopita. Kuna ujumbe amewapa loud & clear juu ya mchakato wa Katiba yetu.
 
Nimesikitika sana kupoteza muda wangu kuangalia kipindi hiki: nimejiridhisha bila shaka kuwa sioni jipya miongoni mwa watendaji wetu hawa. Waliobaki kwenye chama chetu walijue hili! Iwapo tutaendelea hivi bila kusoma wananchi wanataka nini, ipo siku yatatukuta yanayowakuta Syria leo huku tukiwa Ikulu hatuamini ukweli: Kumbukeni Tito aliwatishia hata askari walioenda kumkamata asijue kesha pinduliwa. Celina amka! MUSWADA MBOVU HUZAA MCHAKATO MBAYA NA MWISHO WAKE KATIBA ILIYOSHINDWA KABLA YA KUANZA KAZI! Watanzania hatutokubali kuburuzwa hadi tufikie hapo! Tusubiri hapo ulipo tunakuja.
 
Ana lipi jipya kwanza yeye na kaka yake Werema waliikataa katiba mpya raha yao ni kuwa tuna Rais anayeendana nao angekuwa mwingine angewafukuza kwa kushindwa kutimiza wajibu wao
 
afikirie kuwa katiba si suala la mzaha kwani yakiharibika wa kujibu ni yeye
 
Back
Top Bottom