Nimesikitika sana kupoteza muda wangu kuangalia kipindi hiki: nimejiridhisha bila shaka kuwa sioni jipya miongoni mwa watendaji wetu hawa. Waliobaki kwenye chama chetu walijue hili! Iwapo tutaendelea hivi bila kusoma wananchi wanataka nini, ipo siku yatatukuta yanayowakuta Syria leo huku tukiwa Ikulu hatuamini ukweli: Kumbukeni Tito aliwatishia hata askari walioenda kumkamata asijue kesha pinduliwa. Celina amka! MUSWADA MBOVU HUZAA MCHAKATO MBAYA NA MWISHO WAKE KATIBA ILIYOSHINDWA KABLA YA KUANZA KAZI! Watanzania hatutokubali kuburuzwa hadi tufikie hapo! Tusubiri hapo ulipo tunakuja.