Cell phone spying software

Metallic

Member
Joined
Aug 14, 2009
Posts
57
Reaction score
6
If there is anyone with the above mentioned software please pass it through nina shida nayo sana.
 
Specifications my friend.Give every detail u got.
Spy what.
Files in the 4ne.
Spy calls made.
Through Bluetooth,or what xplain u'r self a bit.
 
If there is anyone with the above mentioned software please pass it through nina shida nayo sana.

there many depend on u mkuu mpenzi wako anakudanganya sana au ni pm nikupe vituzs
 
nahitaji ambayo naweza kuangalia sms zinazoingia na kutoka pia call logs bila kugusa simu ya mtu wala kuinstall softiware yeyote kwenye simu inanyoipeleleza wala kugusa.
By the way hata kama kuna ya bluetooth si mbya japo siipendelei bse itanibidi niwe karibu na cm ninayoipeleleza.
 
nataka kuipeleleza simu kupitia internet.that means hata simu ikiwa arusha me niko dar naweza nikajua mawasilino ya hiyo simu yakoje.kuanzia sms mpk call logs. even ikiwa inaweza kunipa location ya simu ilipo itasaidia pia.Hope umenipata sasa.
 
Mi staki talaka za uzeeni bana. Kama keshanidanganya basi na endelee maana saa izi aaaaaaaah!
 
Mi staki talaka za uzeeni bana. Kama keshanidanganya basi na endelee maana saa izi aaaaaaaah!

Yataka moyo kwa kweli. Binafsi siyataki yale ya Jane wa TTCL..... I cannot go out and look for trouble, let trouble find me here!
Thank you Mr. Spy software but no thank you!
 
I dont know'the stuff is super easy in CSI miami where they have a tech team and a tonn of electrocs.With just an android or I 4ne and a simple software,i dought.With bt its pocble but it too u must b able 2 input passcodes.but lets wait mayb someone has something.
 

ndio inavyofanya kazi yani kmya kmya bila yy kujua ata akiwa wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…