Buswelu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2007
- 1,998
- 356
Hello Wagwana
Nime experince fast hand kuibiwa simu baada ya kukaa na simu kwa miaka ipatayo minne sasa...kwa kweli niliona kama nimepoteza hata kilo mwili.
Siku za siku hizi unaweza weka mambo mengi sana zina kupa unafuu wa kutembea na vitu vingi na kukumbuka vitu vingi kwa wakati mmoja..Hii ni moja ya simu nilizoyo kuwa nayo...sasa vibaka wamenipatia na kuiiba juzi usiku.Yaani nilifanya backup ya contact na sms zangu three month ago sijawa safe sana hata hivyo sms zipatazo 1000 na document zimeondoka.
Wangeiba na warrent basi saa hizi wangekuwa wana download pesa.Sasa wakuu Naomba msaada wenu katika ulizi wa data zako kwenye simu in case imeibiwa...hii ya kwanza kwa kuwa na uzoefu nayo muda mrefu sikuwahi kuwa na wazo la kuweka password...sasa nimejifunza.Noamba msaada nimenunua Nokia E71 kwa sasa kuna mtu anaweza kuwa anajua jinsi ya kuilinda data zako mtu akiiba basi iwe ni bure kwake?Kuna utaratibu wa ku flash simu je huu hauwezi kuondoa maana ya ulizi kwenye simu?
Regards