Nzokanhyilu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2007
- 1,078
- 101
Nina swali. Kuna tatizo gani celtel? Mtu akinitumia messeji kutoka bongo, hiyo meseji inajituma si chini ya mara 10. Rekodi leo imefika 32...... Gadaaamn. Sort it out.
Du mzee nilifikiri washikaji zangu Tanzania ni vimeo wanatuma same sms zaidi ya mara kumi...naona ni shida ya Celtel am getting the same multiple copies hapa Swiss
Ush
Naona hamna thread ya Tekelinalokujia, au labda niko chakari bin bwii hata silioni.
Nina swali. Kuna tatizo gani celtel? Mtu akinitumia messeji kutoka bongo, hiyo meseji inajituma si chini ya mara 10. Rekodi leo imefika 32...... Gadaaamn. Sort it out.
Kuna mwingine nje ya TZ ana matatatizo haya? Sijaona makampuni mengine yana matatizo, lakini hawa Celtel wanaondoa utamu wa meseji zangu ebooo!! Gongo bin komoni ikinipanda mi nitawapandia juu ya milingoti yao niinyofoe ohooooo...inaboa sasa. gadaaaaaamn.
Celtel ni 0784? Kama ndio hiyo, basi ata mimi huwa na experience hizo multiple sms. It's crazy
Naona hamna thread ya Tekelinalokujia, au labda niko chakari bin bwii hata silioni.
Nina swali. Kuna tatizo gani celtel? Mtu akinitumia messeji kutoka bongo, hiyo meseji inajituma si chini ya mara 10. Rekodi leo imefika 32...... Gadaaamn. Sort it out.
Kuna mwingine nje ya TZ ana matatatizo haya? Sijaona makampuni mengine yana matatizo, lakini hawa Celtel wanaondoa utamu wa meseji zangu ebooo!! Gongo bin komoni ikinipanda mi nitawapandia juu ya milingoti yao niinyofoe ohooooo...inaboa sasa. gadaaaaaamn.
yaani mshikaji weee acha tu mie siku ya mwanzo nilipata sms kutoka kwa my SWEET HEART si unajua tena,basi zikawa zinaingia more than once nikaona duh labda ndio ANASISITIZA KUWA ANANIPENDA,ikaingia kama mara 10,nikaridhika roho yangu si unajua tena.
basi nx time nikawa napata sms kutoka kwa washikaji nikaja kugundua kuwa hizo sio kawaida nikajua lazima kuna problems,after all issue kama hizo kwa akina sisi tuliotokea ktk FIELDS YA TELECOMMUNICATIONS inakuwa rahisi kugundua mambo kama hayo.
nafikiri kuna problmes.
Lol. Pole sana.
Ila hili tatizo la miezi.