Mamzalendo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 1,670
- 558
kweli hujengi hapa nimetoka kupokea simu ya mtu anayeniuzia matofali ananiambia c unajua cement imepanda nikamwambia ndio na tofali pia bei imepanda nikamwambia sawa mi naona nistop hapa nilipo kabla cjafungwa na madeni kweli Mungu aione hii serikali,kila kukicha afadhali jana du,Nitaendelea kuwa mapangaji wa kudumu! Kama siwezi kufisadi nitajenga kweli?
ni simba ndugu yangu na nipo huku kilimanjaro,Mamzalendo wapi uko ulikopewa bei iyo na ni cement gani twiga,simba au tembo kuwa specific waweza pata msaasa
Jamani kuna ujenzi nikuwa nafanya nimezoea kununua cement mfuko mmoja 13500 na mara ya mwisho nimenunua juzi leo nimeambiwa hapo hapo kwenye ilo duka 14500 nikasema shida nini jamani mbona ongezeko kubwa,akajbu ndio gharama za kiwanda zimepanda kisa mgao,jamani tuna serikali au hatuna?haya madhara ya propaganda zao wanayaona au hawaoni kwa kweli imeniuma kila kitu juu sa hivi,tunafaidika nini na hii serikali iliyopo madarakani sukari nanunua 2000 wakati serikali ilisema 1700 kisa viwandani,jamani tunaichukulia hatua gani hii serikali?

Nyie mko mkoa gani hapa bongo.Mimi nilipo nje ya dar nimenunua leo Cement simba ni 20,000 na Bati bd moja la futi 10/30g ni 255,000 .
Misumari kilo moja ni 3500-4000 kwa kilo
cement ya nje ni imara na bei rahisi inapatikana kwa murzah oil-zakaria.vitu vya ndani ghali kuliko vya nje maajabu sana
Nyumba ya kanisa umehama?Nitaendelea kuwa mapangaji wa kudumu! Kama siwezi kufisadi nitajenga kweli?
Napumzika Bilila Lodge Serengeti baada ya kazi ngumu za Ujenzi wa Taifa