Cement kutoka 13500 hadi 14500

Kama uko kilimanjaro nadhani kuna haja nkuconnect na jamaa yangu wa bamburi ila nimempigia naona not reachable ila waweza view iyo website yao itakusaidia ila ungekuwa mikoa ya kusini ungepata offer babu kubwa!
 
embu fanya huo mpango kabla sijasitisha huu ujenzi wangu.
 
Na bado maana sasa hivi ni kipindi cha Uzalishaji viwandani, ikifika mwezi wanane sijuhi huwa wanafunga viwanda na bei huwa inapaaaaaaaaa!!!!
 
Na bado maana sasa hivi ni kipindi cha Uzalishaji viwandani, ikifika mwezi wanane sijuhi huwa wanafunga viwanda na bei huwa inapaaaaaaaaa!!!!

ni kweli huu ndio muda wa uzalishaji kwa sababu tpc ndio walikuwa wamefunga kwa ajili ya maintenance sasa sijui ndio wameanza yaani we acha mpaka 2015 tutakuwa tumeipata
 
sasa cc wengine tulikua tunajianda kuanza ujenzi mwishoni wa mwaka...tuwe optimistic bei zitapungua, au la??
 
Ndio maana rafiki yangu wa Kenya aliniambia nyumba au mahekalu tunayojenga Bongo kwa 250m TZS wao wanajengwa kwa m100m TZS maximum kweli Bongo haina mwenyewe kila kitu full kuchakachuliwa...
 
kumbe wenzetu mna maisha bora kwa kila mtanzania, huku kwetu ni 15500
 
Hii ndiyo ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya pamoja na Maisha bora kwa Watanzania kama alivyoahidi Kikwete.
 
Mwenye kufahamu bei ya cement kwa jumla tafadhali weka ili nitue profit margin ni kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…