ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Aisee ingependeza sana sana kama material mojawapo ingepunguzwa bei mno yaani hata kama ni Serikali kutia hela sekta binafsi kimojawapo kipunguzwe hata zaidi na zaidi. MIFUMO yote fasta inge change biashara zingeanzishwa na shughuli za uchumi. Vitu vyote ni muhimu katika ujenzi ila sasa bei sio zenyewe shusheni hata moja basi. Kwa mfano bati bei yake sio RAFIKI.