ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Tatizo la wafanyabiashara wetu sijui ni nini.Aisee ingependeza sana sana kama material mojawapo ingepunguzwa bei mno yaani hata kama ni Serikali kutia hela sekta binafsi kimojawapo kipunguzwe hata zaidi na zaidi. MIFUMO yote fasta inge change biashara zingeanzishwa na shughuli za uchumi. Vitu vyote ni muhimu katika ujenzi ila sasa bei sio zenyewe shusheni hata moja basi. Kwa mfano bati bei yake sio RAFIKI.
Ilifaa mbao ziuzwe chini ya 10000Tatizo la wafanyabiashara wetu sijui ni nini.
Bidhaa ikipanda bei ni ngumu kushuka, mfano mbao soko lake lilitakiwa kuwa rahisi sana tuna miti ya mbao mingi sana nyanda za juu kusini mpaka wachina wananunua sasa na kutengeneza bidhaa mbali mbali.
Lakini bidhaa ya mbao imekuwa bei juu na haioungui bali inazidi kupanda.