Cement ya Nyati 42.5 bei Gani kwa jumla?

Cement ya Nyati 42.5 bei Gani kwa jumla?

KAKA KUBU

New Member
Joined
Mar 19, 2022
Posts
3
Reaction score
0
Wadau naomba kujua bei ya cement ya Nyati kwa jumla kwa Dar. MNatanguliza shukrani.
 
Niko Tanga ndugu lakini nataka kwa Dar.
Uko tanga then wataka cement ya dar? Tanga ni mkoa wenye viwanda vingi zaidi vya cement pia clinker wanazalisha wao wenyewe tofauti na viwanda vingine clinker inatoka china
 
Uko tanga then wataka cement ya dar? Tanga ni mkoa wenye viwanda vingi zaidi vya cement pia clinker wanazalisha wao wenyewe tofauti na viwanda vingine clinker inatoka china
Ameweka wazi anataka bei ya dar labda ana mradi upo dar
 
Niko Tanga ndio lakini nimeotunia cement ya Nyati nikaipenda ndio maana napenda kujua bei zake za jumla kwa Dar. Mwenye anaweza kunisaidia tafadhali.
 
Back
Top Bottom