center nzuri kwa ajili ya course za IT Kenya na south africa

center nzuri kwa ajili ya course za IT Kenya na south africa

Mfuatiliaji

Senior Member
Joined
Jun 5, 2008
Posts
153
Reaction score
33
hi all vijana wa kazi kama kawaida yetu naomba msaada wenu katika masuala ya kujiendeleza ni center gani ni nzuri kwa ajili ya ITC course za linux na vmware kwa nchi za kenya na south africa.
tafadhali naomba kwa anaye zijua kuwa wanafundisha ki kweli kweli anipe japo website URL zao ili niweze kuwasiliana nao .
 
Back
Top Bottom