Central Admission System(CAS)

Central Admission System(CAS)

LAPTOP BOY

Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
13
Reaction score
0
Msaada:Naomba kufahamishwa kuhusu (Orodha ya wilaya zenye nafasi za ajira)ili nijaze fomu kama maelezo ya kuomba nafasi za masomo wizara ya afya yanavyo elekeza kuhusu udhamini.
 
GONGA HAPA
Ukisha gonga hapo juu utakutana na link ya Nacte uende mpaka kwenye Kozi za Afya za Diploma na Certificate u-click penye Guide book ni pdf yenye kila kitu utakayohitaji kujiunga na vyuo vya Afya na nafasi kiwilaya.
 
Ahsante, mkuu ngoja nijaribu.
 
Hii naamini itawasaidia wengi zaidi. Barikiwa uliyeiweka.
 
Back
Top Bottom