Msaada:Naomba kufahamishwa kuhusu (Orodha ya wilaya zenye nafasi za ajira)ili nijaze fomu kama maelezo ya kuomba nafasi za masomo wizara ya afya yanavyo elekeza kuhusu udhamini.
GONGA HAPA
Ukisha gonga hapo juu utakutana na link ya Nacte uende mpaka kwenye Kozi za Afya za Diploma na Certificate u-click penye Guide book ni pdf yenye kila kitu utakayohitaji kujiunga na vyuo vya Afya na nafasi kiwilaya.