Ni siri kubwa
Nilikuwa ninaangalia taarifa ya habari BBC na walieleza bank ya Uingereza ina akibabya tani 50 za dhahabu. Hii ni alibaki ambayo unaweza kutumika kama nchi ikiwa na hali mbaya ya fedha.
Sehemu kubwa ya dhahabu Hii imetoka Afrika. Enzi za Mansa Mussa Ghana ilijulikana kama Pwani ya dhahabu na jamaa hawa waliivamia na kutawala. Wakiwa guardians wetu baada ya Mjerumani kuondoka hatujui walichimba kiasi gani kutoka Tanganyika.
Shukran mkuu Waingereza pia walianza kufanya biashara ya elimu muda mrefu, baada ya kuyumba kwa uchumi wa viwanda Walibadilisha vyuo vyote vya ufundi ( Poly technics) kuwa vyuo vikuu. Watu wengi huamini ubora wa elimu ya Uingereza. Wachina, Waarabu, hata Waafrika walipeleka wanafunzi wao ambao hutozwa International Fee.Toka binadamu aanze kuchimba dhahabu, inakadiliwa dhahabu iliyochimwa ni toni 160,000 mpaka 180,000 kwa makadirio. Kama umeangalia mashindano ya olimpiki ya kuogelea, kiasi hiki ni sawa na ujazo wa mabwawa miwili mpaka matatu. Piga picha ya ujazo huo na uone kwamba kwanini dhahabu ina thamani toka enzi na enzi. Supply ya dhahabu dunia ni ndogo.
Tukirudi kwenye hoja yako ya utajiri, dhahabu haikufanyi uwe tajiri. Inasaidia ukiwa nayo. Wa-spanish walipochukua Marekani ya kusini waliiba dhahabu yote. Lakini Spain moja ya taifa masikini barani Ulaya.
Kwa upande mwingine, waingereza walijua uchumi na wali-control supply and demand katika makoloni yake. Hivyo alichokazania yeye ni biashara zaidi. Kwa mfano aliwakataza wahindi wasitengeneze nguo, hili viwanda vyake viuze nguo. Alikataza makoloni yake ya Marekani yasinunue chai kutoka Colombia, hili yanunue chai kutoka Sri Lanka (koloni la mwingereza).
Shukran mkuu Waingereza pia walianza kufanya biashara ya elimu muda mrefu, baada ya kuyumba kwa uchumi wa viwanda Walibadilisha vyuo vyote vya Fundi ( Poly technics) kuwa vyuo vikuu. Watu wengi huamini ubora wa elimu ya Uingereza. Wachina, Waarabu, hata Waafrika walipeleka wanafunzi wao ambao hutozwa International Fee.
Hili la kufanya elimu ni biashara ndilo analofsnya Mhindi sasa.
Kuhusu dhahabu, tuna takwimu ya dhahabu iliyochimbwa enzi za Mfalme Sulaiman na Mansah Musa?