Salama wa kuu.
Nina ndoto iliyodumu kwa muda wa miaka 6 sasa. Ndoto yenyewe ni kuanzisha centre ya ufundishaji wa computer short course ya three months na kisha kutoa certificate kwa wahitimu itakayo tambuliwa na mamlaka au taasisi mbalimbali.
Je, utaratibu upi unatakiwa kufuatwa kwa NACTE ili kuweza kuidhinishwa kufanya haya?
Ushauri tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu...
Asante mkuu...
Ila nasikia kama VETA ndio wanao yoa usajili....
Sijui hili limekaaje
Sent using Jamii Forums mobile app