Centrizen inatuliza mafua ama sielewi

Centrizen inatuliza mafua ama sielewi

Mumlii

Senior Member
Joined
Mar 14, 2021
Posts
169
Reaction score
232
Habari za jioni, nina mafua nmekunywa centrizen ila bado yapo sjui n za kutuliza ama la, hli wimbi la 3 n shida? Msaada tofauti na tangawizi + limao . ntumie nn mafua yaishe
 
Hii ni anti histamine, inakusaidia kama allergies ulizopata zinazosababisha reaction ya histamine zina dalili ya mafua.
Me mwenyewe nna kihoma kimeniletea mafua
Sisikii harufu wala ladha ya kitu chochote kile

Ipi dawa ya kunisaidia?
 
Habari za jioni, nina mafua nmekunywa centrizen ila bado yapo sjui n za kutuliza ama la, hli wimbi la 3 n shida? Msaada tofauti na tangawizi + limao . ntumie nn mafua yaishe
Pole mkuu halisio nzuri kipindi hiki.
 
Me yangu yameniziba hata sisikii harufu yeyote wala ladha

Kula vizuri, kunywa maji mengi na pumzika mwili wako na kama utapata nafasi ya kufanya mazoezi fanya. Lakini pia haudhuiriwi kutumia Dawa kwa ajili ya kupoza hizo hali.
 
Habari za jioni, nina mafua nmekunywa centrizen ila bado yapo sjui n za kutuliza ama la, hli wimbi la 3 n shida? Msaada tofauti na tangawizi + limao . ntumie nn mafua yaishe
Huduma ya kwanza walishauri uanze na paracetamol kwa homa na asali kwaajili ya kifua.
 
Back
Top Bottom