CEO Barbara anaingia moja kwa moja "peponi"

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
IMG-20220804-WA0025.jpg

Ikiwa habari ya kesho ni hii basi huyu dada anatakiwa kuingia moja kwa moja peponi.

Msije kuniua, nimetumia lugha ya picha tu. Nachotaka kusema kocha ametafuniwa kila kitu!
 
Jana niliambiwa kuna mtu mahususi ametumwa Kampala kwa ajili ya kukamilisha hiyo kazi nikaona nitulie kwanza, nilivyokuja kuona wanatangaza rasmi kuachana na wakina Kagere na Mugalu nikaanza ku connect dots, sasa kwa hiyo picha naona kama jibu linaelekea kupatikana.
 
Kikosi hakitokamilika bila Manzoki, leo tunaujuza umma
 
Uto huwa wanaokota wacheza waliotemwa ndo wanatambulisha,Aziza Kei tu ndo angalau wamejitutumua tena kwa mbinde sana.
Waliotemwa ndio wanaowapelekeaga moto mpaka maji mnayaita mmaa, waliotemwa ndio wamewanyang'anya ubingwa na kumaliza unbeaten, waliotemwa ndio wamemaliza kwa kuchukua kila kitu msimu huu, kumbe kusajili wachezaji waliotemwa ni bonge la dili maana wanayo impact kubwa kwenye timu🤣🤣
 
Baada ya kuhonga zile mechi 13 za udhamin wa GSM kwa milion 2 kila mwezi halafu unajisifu
Kwanza lipeni club pesa ya kuweka bagde ya gsm kwenye jezi
 
Back
Top Bottom