OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hamasa ya Wiki ya Simba katika Uwanja wa Buza Kanisani. Huko wamekuja na Kibegi Part Two ambapo mashibiki mamilioni watashindana kupata tiketi 20 za Platnum. Mashabiki hao watashindana kwa kutuma SMS yenye neno Simba kwenda na.909192 itakayokatwa Sh.1,000 tu.
Hili na tukio la jana la mnada wa jezi na mengine mengi ambayo yamefanywa kuelekea msimu ujao ni ubunifu mzuri unaotakiwa kuingwa na vilabu vingine. Hongera CEO Kajula.
Hili ni zuri zaidi kwa sababu kama hamasa ya nguvu ikifanyika wakafika hata washiriki milioni 1 basi Simba Sc itatengeneza pesa nzuri sana. Lakini pia mashabiki waambiwe hii ni namna rahisi sana ya kusapoti club yao. Badala ya kubaki kulalamika kwa nini klabu inashindwa kusajili mchezaji wa 500m. Ni shabiki gani anashindwa hili kwa gharama ya buku?