OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
"Kesi ya Morrison na Yanga bado ipo na kuna baadhi ya wanasheria wanatusaidia kwenye hiyo kesi.
Naona Yanga bado wanahangaika. Ni kama upo kwenye mahusiano mnaachana halafu bado unamlazimisha mpenzi wako wa zamani arudi.
Mmeachana, hakutaki, ameshaendelea na maisha mengine, bado unamng’ang’ania wa nini? Halafu mwenzio ana maisha yake hakusubiri. Achana nae". Amesema CEO Mrembo kuliko maCEO wote duniani