OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
maana halisi ya utopolo hii hapaNdio anampa madongo Mkude?
"Kesi ya Morrison na Yanga bado ipo na kuna baadhi ya wanasheria wanatusaidia kwenye hiyo kesi.
Naona Yanga bado wanahangaika. Ni kama upo kwenye mahusiano mnaachana halafu bado unamlazimisha mpenzi wako wa zamani arudi.
Mmeachana, hakutaki, ameshaendelea na maisha mengine, bado unamng’ang’ania wa nini? Halafu mwenzio ana maisha yake hakusubiri. Achana nae". Amesema CEO Mrembo kuliko maCEO wote duniani
Zanzibar walukapima oilDemu wa Mo nae kawa mswahilu tu, mambo ya utaalamu anaweza madimamango hapa. Kama anadhani Simba ni ya mumewe Mo basi asubiri chorus.
Maneno ya wakosajiDemu wa Mo nae kawa mswahilu tu, mambo ya utaalamu anaweza madimamango hapa. Kama anadhani Simba ni ya mumewe Mo basi asubiri chorus.
Nako kameanza ujinga! Anachokitaka atakipata, hizi ngonjera amwachie vuvuzela!View attachment 1689121
"Kesi ya Morrison na Yanga bado ipo na kuna baadhi ya wanasheria wanatusaidia kwenye hiyo kesi.
Naona Yanga bado wanahangaika. Ni kama upo kwenye mahusiano mnaachana halafu bado unamlazimisha mpenzi wako wa zamani arudi.
Mmeachana, hakutaki, ameshaendelea na maisha mengine, bado unamng’ang’ania wa nini? Halafu mwenzio ana maisha yake hakusubiri. Achana nae". Amesema CEO Mrembo kuliko maCEO wote duniani
Yule Bi-mkubwa ana-stress.MIMI NILISIKIA TU PALE ALIPOULIZWA NA MSIKILIZAJI MMOJA KAMA AMEOLEWA AU ANA BOYFRIEND?
AKAKATAA KUJIBU AKILALAMIKA WASIKILIZAJI HAWAMTENDEI HAKI KWA SWALI HILO.
SASA SIJUI ALISHINDWA NINI KUJIBU.
Huyu Demu wa Mkude kumbe ni Mswahiliswahili?View attachment 1689121
"Kesi ya Morrison na Yanga bado ipo na kuna baadhi ya wanasheria wanatusaidia kwenye hiyo kesi.
Naona Yanga bado wanahangaika. Ni kama upo kwenye mahusiano mnaachana halafu bado unamlazimisha mpenzi wako wa zamani arudi.
Mmeachana, hakutaki, ameshaendelea na maisha mengine, bado unamng’ang’ania wa nini? Halafu mwenzio ana maisha yake hakusubiri. Achana nae". Amesema CEO Mrembo kuliko maCEO wote duniani
Ilo swali halihusiani na kazi yake halafu inaonyesha upeo wetu ulivyo tumeweka ngono mbele sio sinema au muziki ngono inachukua nafasi kubwaMIMI NILISIKIA TU PALE ALIPOULIZWA NA MSIKILIZAJI MMOJA KAMA AMEOLEWA AU ANA BOYFRIEND?