Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo nafasi wangempa GENTAMYCINE angeitendea haki kuliko huyo jamaa.Hao JKT nao ndiyo kusema wamekosa kabisa mtu sahihi na mwenye sifa wa kuishika hiyo nafasi!
😅😅😅DaaaaKwahiyo huyu jamaa ameondoka Elizabeth FM?
nasikia lilijikomba sana kwa mkuu wa timuNauliza tu huyu jamaa ambaye huku ni mchambuzi wa mpira Crown FM huku ni CEO wa JKT Tanzania ataweza kutofautisha vipi haya mawili?
Asije kuongea kwa hisia akajikuta amefungiwa muda mrefu TFFView attachment 3041343
Hakika pia tamaaHuyu jamaa anajirundikia majukumu ambayo kiuhalisia hayatakiwi kwenda pamoja kwa wakati mmoja.
Yaani yeye ni wakala wa wachezaji, ni mchambuzi (ambaye wakati mwingine anaikosoa vikali timu ambayo wateja wake wanachezea) na sasa ni CEO wa timu nyingine. Na hapo inawezekana ana majukumu mengine katika soka.
Nimegundua kiwanda cha mpira wa miguu Tanzania bado kina uhaba mkubwa wa watu wa kufanya kazi mbalimbali ndiyo maana jambo kama hili linatokea.
Eti nini FM? Hilo ni jina rasmi au Waswahili mshaunga dots?Kwahiyo huyu jamaa ameondoka Elizabeth FM?