idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,284 Reaction score 38,364 Jan 26, 2019 #21 Nimependa hilo tamko halimuumizi wala halimkwezi mtu.
Twamo JF-Expert Member Joined May 27, 2017 Posts 2,884 Reaction score 5,016 Jan 26, 2019 #22 Dalmine said: Tangu lini mtu mweusi akawa kocha na akafanikisha!! Hii kazi tuwaachie wazungu ndio wanaiweza. Sisi tunachoweza ni majungu tu Click to expand... Yanga tunaye papaa Zahera ni mweusi na atafanikisha malengo yetu ya kuchukua ubingwa! Sent using Jamii Forums mobile app
Dalmine said: Tangu lini mtu mweusi akawa kocha na akafanikisha!! Hii kazi tuwaachie wazungu ndio wanaiweza. Sisi tunachoweza ni majungu tu Click to expand... Yanga tunaye papaa Zahera ni mweusi na atafanikisha malengo yetu ya kuchukua ubingwa! Sent using Jamii Forums mobile app
Abu Ubaidah Commando JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 7,591 Reaction score 6,946 Jan 26, 2019 #23 Twamo said: Yanga tunaye papaa Zahera ni mweusi na atafanikisha malengo yetu ya kuchukua ubingwa! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... 2nazungumzia nchi za ulaya,kwa hapa hata mbao fc inashinda tu. Haya bac mpeleke uyo yanga akacheze na cadiff city uone atachapwa ngapi na zahera wenu.
Twamo said: Yanga tunaye papaa Zahera ni mweusi na atafanikisha malengo yetu ya kuchukua ubingwa! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... 2nazungumzia nchi za ulaya,kwa hapa hata mbao fc inashinda tu. Haya bac mpeleke uyo yanga akacheze na cadiff city uone atachapwa ngapi na zahera wenu.
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Jan 30, 2019 #24 Hapo bwana vadim amenena ukweli ambao mimi huwa nauamin siku zote. Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo bwana vadim amenena ukweli ambao mimi huwa nauamin siku zote. Sent using Jamii Forums mobile app
Masamila JF-Expert Member Joined Jun 22, 2014 Posts 6,490 Reaction score 7,422 Jan 30, 2019 #25 Alvajumaa said: Ni kweli mkuu James, Bakayoko, Lerma, Mbappe wote waliuzwa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ongezea hapo wachezaji wenye viwango vya juu kama Mendy,Martial, Bernardo Silva na Fabinho
Alvajumaa said: Ni kweli mkuu James, Bakayoko, Lerma, Mbappe wote waliuzwa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ongezea hapo wachezaji wenye viwango vya juu kama Mendy,Martial, Bernardo Silva na Fabinho