CEO wa Simba SC kwa sasa tunataka tu kusikia 'Vyuma Vipya' vikitua Msimbazi na si 'Maupuuzi' yenu mengine sawa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Haya Maupuuzi yenu mnayoyafanya sasa Kutuvutia Mashabiki wenu (GENTAMYCINE nikiwemo) yatatuingia vyema Mashabiki wenu pale tu tukisia Timu (Simba SC) imesajili Watu (Wachezaji wa Kazi) tupu ili kutupa Raha katika Mashindano yote yajayo kwa Kubeba kila Kombe litakalokuja mbele yetu.
 
Popoma
 
wape uhuru wafanye watakavyo
 
Umeshituka na tangazo la mnada?
 
Nasikia wewe GENTAMYCINE ni shabiki wa yanga
 
Nadhani sajili nyingi ya hizi team ni za kutegesha wanangoja wachezaji washindwe kupata team mahali wao wasajili ila wanajificha ndani ya kitu wanaita "Siri"
 
brother humu wenye akili ni wachache mno,mmoja wapo ni wewe,japo mie ni yanga lakini nikisoma posts zako sichukui japo zingine zinakera lakini nina stahmala kubwa sana
 
Kwani wale wachezaji wa msimu uliopita wanashida gani?
Ni swala la kuwaongezea Motisha tu ili wafanye vizuri zaidi ya walipoishia. So mimi nashauri safari hii Simba wasijikite na swala la usajili, wak8sajiri sana iwe mchezaji mmoja au wawili.
 
MWAMEDI mwenyewe Haeleweki ana in and out nyingi sana. Anasusasusa sana

Mo ANATUUMIZA sana wapenzi WA hiki kilabu.

Bora Aondoke.
Mwanaume mwenzako ana kuumizaje mtani..?

Acha matusi bhana!
 
Kwani wale wachezaji wa msimu uliopita wanashida gani?
Ni swala la kuwaongezea Motisha tu ili wafanye vizuri zaidi ya walipoishia. So mimi nashauri safari hii Simba wasijikite na swala la usajili, wak8sajiri sana iwe mchezaji mmoja au wawili.
Hivi Akpan, Bocco,n.k ukiwapa mshahara anaopokea Lionel Messi kama motisha wanaweza kubadilika? Yaani mbwa koko, tena aliyezeeka anaweza kufanya kuwa mkali kama Germany shepherd kwa kumbadilishia menu? Broo hapo umetoa boko la nusu mwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…