CEO wa Simba SC tuombe Radhi upesi kwa Kutudanganya leo wana Simba SC katika Interview yako

CEO wa Simba SC tuombe Radhi upesi kwa Kutudanganya leo wana Simba SC katika Interview yako

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Haya baada ya Kutudanganya wana Simba SC (GENTAMYCINE nikiwemo) na Wadau wa Soka / Michezo leo katika moja ya Interview yako kuwa Bonus inayodaiwa na Wachezaji wa Simba SC ni Shilingi Milioni Ishirini tu.

CEO wa Simba SC Mimi GENTAMYCINE nakuambia tena Nikijiamini kabisa huku nikiwa na Urafiki wa Wachezaji wa Simba SC na hata wa Yanga SC kuwa Fedha Kamili ya Bonus wanayoidai Wachezaji wa Simba SC ni Shilingi Milioni Mia Nne na siyo Shilingi Milioni Ishirini kama uliyosema na Kutudanganya.

Hovyoooooo.....!!!!!!
 
Wawalipe, hakuna namna ingine.
Walipwe Kweli bila Kaz yoyote walio fanya hata mm nisingewalipa hasara kubwa Sana wameleta alfu udai bonus no way watauzwa wachezaji Simba karibiaa 10
 
Walipwe Kweli bila Kaz yoyote walio fanya hata mm nisingewalipa hasara kubwa Sana wameleta alfu udai bonus no way watauzwa wachezaji Simba karibiaa 10
Hahaha
 
🤣🤣🤣🤣 yote haya kayasababisha mwana wa mfalme ...... Prince Dube. Watetezi wa haki za feisal wanefikwa na msiba sasa nani atamsemea tena?,Mo ni tapeli arudushe timu yetu Kama nikuchanga tutachanga.

#Mo rudisha Simba yetu.
 
Back
Top Bottom