mimi wanachoniboa hawa watoto ni kuwa wakiongea kiswahili ndo utasema hawajui kiswahili
wanajua kingereza...ishu sasa wakutana na asiejua kiswahili,english fluent
ndo unashangaa khaaa....sasa ile ilikuwa nini?
Ni Ushamba mkubwa saaana... Raha kuongea Kiswahili Fluently... yaani
itokee kua kama unatumia Kiingereza uwe na watu wa level yako moja...
yaani woote fluent.. lakini sio haki uko katikati ya jamii isojua kiingereza
na unaongea Kiingereza... it is not right... and not fair...
kwa vijana wa kibongo siku hizi hiyo ndo fashion
silkiliza radio au tv unashindwa kujua which is the official language ya kipindi...
ni kingereza tena american english na kiswahili humo humo
majority wanatoka nchi gani?
Boss Unamsemea Form four wa hizi shule za JK?? Kuna watu wamemaliza Chuo but they can not answer that convincingly straight....
Ni Ushamba mkubwa saaana... Raha kuongea Kiswahili Fluently... yaani
itokee kua kama unatumia Kiingereza uwe na watu wa level yako moja...
yaani woote fluent.. lakini sio haki uko katikati ya jamii isojua kiingereza
na unaongea Kiingereza... it is not right... and not fair...
Nakubaliana na wewe. Nakumbuka zamani watu wakitema kimombo wanaambiwa wanaringa ama kujisikia

Boss Unamsemea Form four wa hizi shule za JK?? Kuna watu wamemaliza Chuo but they can not answer that convincingly straight....
AD ni kwanini senior positions (managers, directors, VP's, CEO's etc) kwenye hizi kampuni nyingi za kigeni zinashikwa na wageni na sio wabongo? Ina maana sisi wabongo ni vilaza sana na hatuna effective managerial skills and talents ama?
Nasikia vibaya sana wenzetu wanapiga msondo sisi wabongo tunaendelea kupiga chapuo

Ukweli watz wengi ni wavivu, hata ukipewa kzi nzuri wengi wanataka kupiga deals humohumo! Less committed, huchanganya sana kazi na social affairs, kwa mfano, Magori aliyekuwa NSSF, muda mwingi aliutumia kwenye mambo ya mpira badala ya kazi, wamempeleka lindi sasa kumpunguza kasi, labda atafanya kazi, mkuu mwingine yupo pale NHC, somebody Mgongolwa, hafanyi kazi yeye na yanga tu! Vitu hivi wenzetu hawavifagilii kabisa!

Utakuta mkuu flani anapewa ofisi anaajiri mjomba, mtoto wa rafiki, ndugu, kabila moja, au mkoa mmoja bila kujali compitence, hapa ni kufikiria side yako na si company interests!

Lazima tubadilike!

Huyo jamaa kwa nafasi yake angekuwa mtz basi mara kwa mara ungesikia mara anadhamini miss tz, mara anagombea kamati tendaji yanga na mengineyo!

Mzizi hilo nalo neno, nilishangaa sana niliposikia C Magori ni one of the big NSSF shots, maana kila kukicha kwenye news
Wafanyakazi wengine pia ndio wamezama kwenye trade union wana nyadhifa zaidi ya 8, 'mimi ni katibu wa TUICO Mkoa, pia mjumbe wa mkutano mkuu Taifa, pia mjumbe wa bodi ya wadhamini, pia niko kwenye shirikisho....' Sasa huyu analipwa mshahara na mwajiri lakini 90% ya muda wake anautumia kutumikia chama cha wafanyakazi haina majotrooo kabisa!