CEO wa Yanga Eng.Hersi saidi alisikika akisema wao Mpango wao ilikuwa ni Kufika Makundi!
Ina Maana Matokeo Mengine yakija ni Bahati tuu Au Mbeleko?
Au ndio kwenda unajificha kwa kuogopa?
Hakuna Kitu Muhimu kama Kujiamini ktk Maisha au kitu ifanyacho.
Unachokiomba ndio utapata.
Either unataka pa kujificha ili uje ufanye Surprise kwa watu Ama kujificha kwa lawana!
Yote kwa yote unataka tuamini kuwa ukisonga mbele ni Bahati au mbeleko sababu haukuwa na Mpango huo,Ina maana pia Haukuwa na Mikakati ya Kwenda mbali zaidi.
Be as Engineer,
Be as A leader Acha Uoga.
Sisi ni Waelewa..Over
Unenayo ndio hutokea.