Hersi ni CEO? mbumbumbu [emoji706]CEO wa Yanga Eng.Hersi saidi alisikika akisema wao Mpango wao ilikuwa ni Kufika Makundi!
Ina Maana Matokeo Mengine yakija ni Bahati tuu Au Mbeleko?
Au ndio kwenda unajificha kwa kuogopa?
Hakuna Kitu Muhimu kama Kujiamini ktk Maisha au kitu ifanyacho.
Unachokiomba ndio utapata.
Either unataka pa kujificha ili uje ufanye Surprise kwa watu Ama kujificha kwa lawana!
Yote kwa yote unataka tuamini kuwa ukisonga mbele ni Bahati au mbeleko sababu haukuwa na Mpango huo,Ina maana pia Haukuwa na Mikakati ya Kwenda mbali zaidi.
Be as Engineer,
Be as A leader Acha Uoga.
Sisi ni Waelewa..Over
Unenayo ndio hutokea.
Hersi ni CEO? mbumbumbu [emoji706]
Tutafungwa mechi zote za makundi Ili mfurahi,ahaaaaCEO wa Yanga Eng.Hersi saidi alisikika akisema wao Mpango wao ilikuwa ni Kufika Makundi!
Ina Maana Matokeo Mengine yakija ni Bahati tuu Au Mbeleko?
Au ndio kwenda unajificha kwa kuogopa?
Hakuna Kitu Muhimu kama Kujiamini ktk Maisha au kitu ifanyacho.
Unachokiomba ndio utapata.
Either unataka pa kujificha ili uje ufanye Surprise kwa watu Ama kujificha kwa lawana!
Yote kwa yote unataka tuamini kuwa ukisonga mbele ni Bahati au mbeleko sababu haukuwa na Mpango huo,Ina maana pia Haukuwa na Mikakati ya Kwenda mbali zaidi.
Be as Engineer,
Be as A leader Acha Uoga.
Sisi ni Waelewa..Over
Unenayo ndio hutokea.
Eng. Hersi sio CEO wa YangaCEO wa Yanga Eng.Hersi saidi alisikika akisema wao Mpango wao ilikuwa ni Kufika Makundi!
Ina Maana Matokeo Mengine yakija ni Bahati tuu Au Mbeleko?
Au ndio kwenda unajificha kwa kuogopa?
Hakuna Kitu Muhimu kama Kujiamini ktk Maisha au kitu ifanyacho.
Unachokiomba ndio utapata.
Either unataka pa kujificha ili uje ufanye Surprise kwa watu Ama kujificha kwa lawana!
Yote kwa yote unataka tuamini kuwa ukisonga mbele ni Bahati au mbeleko sababu haukuwa na Mpango huo,Ina maana pia Haukuwa na Mikakati ya Kwenda mbali zaidi.
Be as Engineer,
Be as A leader Acha Uoga.
Sisi ni Waelewa..Over
Unenayo ndio hutokea.
Eng. Hersi sio CEO wa Yanga
CEO wa Yanga Eng.Hersi saidi alisikika akisema wao Mpango wao ilikuwa ni Kufika Makundi!
Ina Maana Matokeo Mengine yakija ni Bahati tuu Au Mbeleko?
Au ndio kwenda unajificha kwa kuogopa?
Hakuna Kitu Muhimu kama Kujiamini ktk Maisha au kitu ifanyacho.
Unachokiomba ndio utapata.
Either unataka pa kujificha ili uje ufanye Surprise kwa watu Ama kujificha kwa lawana!
Yote kwa yote unataka tuamini kuwa ukisonga mbele ni Bahati au mbeleko sababu haukuwa na Mpango huo,Ina maana pia Haukuwa na Mikakati ya Kwenda mbali zaidi.
Be as Engineer,
Be as A leader Acha Uoga.
Sisi ni Waelewa..Over
Unenayo ndio hutokea.
Tuachachane na ushabiki tuongee realty ya maisha kipi bora kuweka malengo ambayo huwezi kuyafikia au kuweka malengo ambayo unaweza kuyafafikia?sawa Nineandika kimkakati sanaa Ujue!
Akija hapa Kubweka,
Namwsmbia wewe Hersi kwani ni CEO![emoji19][emoji16]
Ila Ujumbe unakuwa ameupata,
Nakuwa Nimeshamruka!
Ila Ukweli ameambiwa hajiamini,
Eti malengo ni Kufika Makundi tuu,
Ina Maana Timu ikienda mbele ni kwa mbeleko.
Unajua lazima uwe na Mipango/Objectives na Action Plan,
Action Plan kila Mtu azijue ili Twende pamoja,Tukifeli tunafeli wote!
tukishinda tunashinda wote kweupe!
Sio Anajifichia eti KwenyMakundi,
Basi Aondoe timu sababu hakuwa na Maandalizi ya kufika mbele![emoji17][emoji18]
Acha ndumu kijana. CEO wa Young Africans anaitwa Andrew Mtine huyo uliyemnukuu hatumfahamu.CEO wa Yanga Eng.Hersi saidi alisikika akisema wao Mpango wao ilikuwa ni Kufika Makundi!
Ina Maana Matokeo Mengine yakija ni Bahati tuu Au Mbeleko?
Au ndio kwenda unajificha kwa kuogopa?
Hakuna Kitu Muhimu kama Kujiamini ktk Maisha au kitu ifanyacho.
Unachokiomba ndio utapata.
Either unataka pa kujificha ili uje ufanye Surprise kwa watu Ama kujificha kwa lawana!
Yote kwa yote unataka tuamini kuwa ukisonga mbele ni Bahati au mbeleko sababu haukuwa na Mpango huo,Ina maana pia Haukuwa na Mikakati ya Kwenda mbali zaidi.
Be as Engineer,
Be as A leader Acha Uoga.
Sisi ni Waelewa..Over
Unenayo ndio hutokea.
Kwako ni dogo ila kwa wenye timamu ni kubwa huwezi kusema waziri mkuu Samia watu wakuone una timamuHilo kosa la uandishi ni dogo kuweza kufuta ujumbe. Ujumbe ni kwamba Hersi amesema lengo la Yanga limeshatimia, hata wasipoingia robo fainali asilaumiwe mtu. Kwa hiyo mnaodhani Yanga ana nia ya kuendelea zaidi ya hapo mnapingana na mawazo ya Hersi