andythelast Member Joined Mar 22, 2014 Posts 65 Reaction score 23 Jul 11, 2014 #1 Tafadhali naomba nisaidie kujua vilipo vituo vya vifaa tiba vya ceragem ukiacha kile cha mnazi mmoja ili nikapate tiba,asante.
Tafadhali naomba nisaidie kujua vilipo vituo vya vifaa tiba vya ceragem ukiacha kile cha mnazi mmoja ili nikapate tiba,asante.
stwita JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 1,340 Reaction score 760 Jul 13, 2014 #2 Tegeta Kibaoni, ndani ya eneo la kituo cha mafuta cha Petro, ukifika utaona bango kubwa tu ghorofani
andythelast Member Joined Mar 22, 2014 Posts 65 Reaction score 23 Jul 14, 2014 Thread starter #3 stwita said: Tegeta Kibaoni, ndani ya eneo la kituo cha mafuta cha Petro, ukifika utaona bango kubwa tu ghorofani Click to expand... Thanks.
stwita said: Tegeta Kibaoni, ndani ya eneo la kituo cha mafuta cha Petro, ukifika utaona bango kubwa tu ghorofani Click to expand... Thanks.