Certificate in Community Developement

Certificate in Community Developement

Cherrylicious

Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
37
Reaction score
2
Wadau .. msaada tutani ...ni chuo gani kizuri kwa kuanzia certificate ya Community development kwa aliye maliza form 4 mwaka jana.

asanteni
 
Nenda Tengeru CDTI, they are good on this...
 
Monduli CDTI, MISUNGWI CDTI, BUHARE CDTI, RUNGEMBA CDTI, MLALE CDTI
 
Hpo chacha kwnye kaz ndio kimbembe lazma azeekee nymban
 
Ajira serikali zipo zinatangazwa mara kwa mara kwa wenye level ya astashahada kuliko diploma au degree,hivyo asikate tamaa.
 
Back
Top Bottom