Wadau naomba msaada wenu kujua vyuo vya serikali vinavyotoa Certificate ya mambo ya maabara,kuna dogo ananisumbua ila hakusoma physics o level.Je ni sifa zipi anatakiwa kuwa nazo ili apate kozi hiyo.Natanguliza shukrani

Chuo cha maabara singida hospitali ya mkoa mi mimesomea hapo certificate ya maabara ni chuo pekee cha serikali phyisics sio kigezo sana niliingia kwa biology c na kemia c mwisho ni D kuna uombaji wa aina mbili kuandikisha CONT
Yes bro! Ukiwa na C ya bioz, D ya chem, D ya kingrza, D ya maths, unaweza pata hii certificat, bt f ya phy.
Afya nasikia kugumu sana katika selection vp umeomba dip au cheti ya kozi gani mkuu mwenzangujaman haya matokeo yao lini/
maana wngne ualimu unatuchanganya/ kwa anayejuwa bac anijuze.coz wengne
hatuna hob na ualimu
jaman haya matokeo yao lini/
maana wngne ualimu unatuchanganya/ kwa anayejuwa bac anijuze.coz wengne
hatuna hob na ualimu
wazeyaaa! kusugua mpaka mwezi wa 10 tarehe 12 kuna friend wangu 1 alienda kuulizia pale muhimbili so hamna jinsi tusubir