Wakuu habari zenu!
Mimi ni mwana chuo wa mwaka wa kwanza
chuo cha ufamasia kilichoko Kimara Dar jina kinaitwa Paradigms.
wakuu naombeni msaada kwa yeyote mwenye notes za second semister kwa masomo haya
Pharmacology
Pharmaceutical calculation
Compounding
Record Keeping
Nawashkuru sana