Tunatoa mafunzo ya biashara kwa vijana mbalimbali.
Tuna kampuni na leseni halali ya kutoa mafunzo haya.
Tunafikiria kuanza kutoa "Certificate of attendance" kwa wahitimu.
Je taratibu gani za kisheria za kufuata kabla ya kuanza kutoa hizo "Certificate of attendance"
certificate of Attendance hazina sharia yoyote, hata kama mtu atahudhuria kitchen party au send off au harusi unaweza kuwapatia hiyo certificate. Mara nyingi zinatolewa kwa watu wanaohudhuria semina, mikutano au makongamano