Certificate of Good Conduct kwa aliye nje ya Tanzania inapatikanaje?

Certificate of Good Conduct kwa aliye nje ya Tanzania inapatikanaje?

Grena

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
656
Reaction score
1,553
Habari zenu wakuu,

Kuna rafiki yangu yuko nje aliwahi kufanya kazi Tanzania miaka kadhaa nyuma mkataba ulivyoisha akaondoka.

Baadae alienda kufanya kazi Dubai na Qatar then akarudi kwao.

Saivi kapata kazi Canada anatakiwa working permit lakini wamesema lazima awe na certificate of good conduct ya nchi alizofanyia Kazi.

Amepata certificate ya Dubai na Qatar lakini ya Tanzania hajui jinsi ya kuipata.

Msaada jamani procedure ni gani kupata certificate of good conduct ukiwa nje ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom