Certificate ya sheria

Certificate ya sheria

Devi

Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
15
Reaction score
3
wakuu habari zenu,msaada tafadhali,naomba kuuliza ni vyuo gani vizuri kwa cheti cha sheria?nashukuru
 
Chuo cha mahakama kipo lushoto na mwanza, mzumbe, ruaha, udsm, azania maeneo ya upanga, saut ya mwanza, kiu cha goms
 
chuo cha uongozi wa mahakama Lushoto "institute of judicial administration" ni chuo kizuri kinachotoa kozi ya sheria.
 
Kama una pass nzuri o level ni bora uende udsm, mzumbe au ruco coz kama utakaza utachukuliwa degree moja kwa moja, ninaposema kukaza basi kukaza kweli kitu cha first class kinahusika
 
Back
Top Bottom