Certification of certificates

zethumb

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
610
Reaction score
137
Wana JF polen na swaumu! je naomba kufahamishwa kuna husiano gani kati ya mtu kutoitwa kwenye usaili na kutocertify vyeti mfano kwa wakili? au mtu kutocertify vyeti yaweza kumnyima fursa kuitwa kwa interview?
 
Mkuu ktk tangazo kama walikutaka ufanye hivyo nadhani itakufanya ukose sifa.
 
Mkuu ktk tangazo kama walikutaka ufanye hivyo nadhani itakufanya ukose sifa.

Inamaana ukifanya hivyo unakuwa nauhakika wa kupata kazi au huu ni mwendelezo wa kuendelea kutuchukulia hata hizi hela kidogo tulizo nazo,lakin nakushauri fata wanachotaka,sijui ni kweli waliosema "mtaka cha uvunguni sharti ai............
 
kwa mfano kisutu kucertify vyeti ni bure ila kinondoni ukiwa mzembe hata 20K zitakutoka..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…