Smarter
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 528
- 114
Wandugu ninataka kusoma CISA, niko Arusha.
nimejaribu ku dodosa dodosa sijapata anywhere naweza pata Review Classes.
Tafadhalini kwa alie na information zozote please naomba. else kama kuna wenye mpango kama wangu tuangalie jinsi ya kujiunga na kukamilisha hili.
Salaam,