Wakuu kama kichwa cha habari kinavojieleza nahitaji kusoma hizo course za marketing , Je kwa hapa Tanzania ni chuo gani kinafundisha course za CIM (Certified Institute of Marketing)
Wakuu kama kichwa cha habari kinavojieleza nahitaji kusoma hizo course za marketing , Je kwa hapa Tanzania ni chuo gani kinafundisha course za CIM (Certified Institute of Marketing)
Sifahamu CIM yenye kirefu cha Certified Institute of Marketing lakini kama waongelea courses zinazotainiwa na Chartered Institute of Marketing (CIM-UK) basi jibu ni kwamba Tanzania hakuna chuo kilichoidhinishwa kuwa mwakilishi au kituo cha mafunzo ya course za CIM. Mwaka uliopita Financial Training Centre (ftc) Ltd walioko pale Osman Tower opposite na ALEA Complex, CBE walikuwa wameidhinishwa kutoa course hizi kwa ngazi za chini (Cerftificate na Diploma). Leo nimeangalia Study Centre Search hawamo kabisa kwenye orodha.
Kama uko makini kuchukua course za CIM kwa ngazi ya Diploma au Post-graduate Diploma kwa masafa ya mbali nakushauri wajaribu:
CIAR Africa Training,
4th Flr, Royal Offices, Mogotio Rd,
Westlands P.O. Box 66144 - 00800 Nairobi, Kenya
Tel: +254 (020) 3742813/+254 (0) 737 188907
Cell: +254 (0) 722 611350
Fax: +254 (020) 3742814
Email: info@ciarafrica.com
Web: CIAR Africa