Cfa

mwaisabila

Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
66
Reaction score
43
Nahitaji msaada wadau kuna yeyote anaweza nisaidia kujua vitua vya tuition na mitihani ya certified financial analyst hapo dar es salaam
 
Nahitaji msaada wadau kuna yeyote anaweza nisaidia kujua vitua vya tuition na mitihani ya certified financial analyst hapo dar es salaam
Kwa Tanzania hakuna...Mitihani inafanyikia Nairobi! Nenda Oshwal College!
 
ni kweli kabisa, hatuna

je umeshaanza maandalizi?? kama ndio tuwasiliane offline

Mimi pia niko kwenye jaramba hilo... very exciting
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…