Cha asubuhi huwa ni kitamu!

Cha asubuhi huwa ni kitamu!

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
Iwe Missionary Style, Iwe style za Mapokeo ya Kishenyento!

👉 Cha asubuhi ni muhimu kwa afya ya akili, husaidia kufikiria mambo mapya unapoamka asubuhi.

👉 Cha asubuhi huongeza ukaribu na mwenza wako.

👉 Cha asubuhi hudumisha upendo.

👉 Cha asubuhi kinaweza kusaidia kusahaulisha na hata kusamehe kosa la jana.

Asubuhi ni kimoko tu! Tatu Bila, waachie TMK! Wahi kazini, wahi ibadani!
 
Ahsubui huwa ni muda mzuri wa Kuimiliki siku (Spirituality).

Kwa kuanza na Ibada fupi na ndefu ya shukurani.

Na kuwaombea Wagonjwa na walio vifungoni.

Mwili unabidi kutakasika Sana Ahsubui
Mkuu mwishoni kabisa nimetaja neno watu wawahi ibadani, lakini kwa wanandoa ili ni tendo la kiroho
 
Iwe missionary iwe! Style za mapokeo "kishenyento "
👉cha asubuhi ni muhimu kwa afya ya akili ili kuweza kufikiria mambo Mapya huamkapo asubuhi
👉Cha asubuhi huongeza ukaribu na mwenza
👉Cha asubuhi hudumisha upendo
👉Cha asubuhi kinaweza kusaidia katika kusahaulisha na ata kusamehe kosa la Jana.

Asubuhi ni kimoko tu! Tatu Bila waachie TMK wahi kazini, wahi ibadani
Hii mada muda iliyopostiwa ni baada ya kupata cha asubuhi?😂
 
Iwe missionary iwe! Style za mapokeo "kishenyento "
👉cha asubuhi ni muhimu kwa afya ya akili ili kuweza kufikiria mambo Mapya huamkapo asubuhi
👉Cha asubuhi huongeza ukaribu na mwenza
👉Cha asubuhi hudumisha upendo
👉Cha asubuhi kinaweza kusaidia katika kusahaulisha na ata kusamehe kosa la Jana.

Asubuhi ni kimoko tu! Tatu Bila waachie TMK wahi kazini, wahi ibadani
Hii inaitwa Morning Glory......
 
Ahsubui huwa ni muda mzuri wa Kuimiliki siku (Spirituality).

Kwa kuanza na Ibada fupi na ndefu ya shukurani.

Na kuwaombea Wagonjwa na walio vifungoni.

Mwili unabidi kutakasika Sana Ahsubui
Mkuu,
Inaonekana wewe ngono sio kipaumbele. Morning glory inaipa mwili nguvu ya kufanya kazi siku nzima bila kuchoka.
 
Back
Top Bottom