Cha asubuhi kitamu

Hapo kwenye mechi kuanzia bila vimichezo ndio sitakagi Mimi,Nina mausingizi yangu nashangaa tu hiyoooo sipendi basi tu Sina namna! wanasema ukiondoka nyumbani hujala ugali barabarani utatamani Kila unachokiona,si magimbi wa viazi utavutiwa navyo.
Tupo wengi,,, hata mm spend kabsa,,, et chomeka na kuanza daaa,,, asbh mm hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…