kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Ninavyoelewa majadiliano kuhusu uwekezaji wa kujenga kiwanda cha kuchakata gesi kupata NLG yalikua hayaendi haraka kwa sababu ya kuhakikisha uwekezaji unakua na faida kwa pande zote.
Tofauti na awamu zingine awamu ya 5 iliweka sheria mpya za uwekezaji ili kuhakikisha pande zote nchi na muwekezaji wanafaidika kwa sawa.
Sina hakika huyu January na team yake kuendesha kwa speed mazungumzo anaweza kutoka na mikataba yenye maslahi na tija kwa nchi au ndio yatakua yale ya kuruhusu mchanga madini yakatolewe huko mbele ya safari wakijidai ni mchanga usiokua na thamani.
Mama alisema anampa Prof Kabudi nguli wa sheria na mzalendo kazi maalum ikulu kama mshauri kuhakikisha mikataba inalinda maslahi ya nchi.
Tungependa kujua kama anashirikishwa kwenye mazungumzo au ilikua namna ya kumuweka pembeni.