Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Licha ya ukweli kuwa katiba inagusa kila nyanja katika maisha ya watu,mimi kipaumbele changu kwa sasa ni kupata katiba itakayotusaidia kuondokana na utawala huu wa CCM.Baada ya hapo mambo mengine yote yatafuata na yatakwenda "smoothly".
Tusijidanganya kupata katiba tunayoitaka chini ya utawala wowote wa CCM.Katiba bora,mbali na mambo mengine,maana yake ni kuwa CCM wanawajibika kwa kila "uovu" katika kila eneo iwe ni katika siasa,uchumi,elimu,afya n.k..Sasa katika mazingira kama haya unadhani hilo litawezekana?
Katiba bora chini ya CCM ni ndoto na ndio maana hata yale maboksi 17 yaliyowasilishwa na CHADEMA katika tume ya katiba yalikatawaliwa.Cha msingi kwa sasa ni kuelekeza nguvu kupata katiba itakayotusaidia kuondokana na.CCM na baada ya hapo tunaweza kuiboresha katiba itakayokuwa imepatikana baada ya kukamilika huu mchakato wa sasa.
Katiba mpya si ajenda ya CCM bali ajenda ya CCM ni kubaki madarakani kadri inavyowezekana.
CC.Prof Baregu.