M MKIMBA New Member Joined Jul 17, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Jul 18, 2012 #1 MFANO.mtumishi wa umma kuwa na vyeo zaidi ya kimoja kulipwa na hazina wakati wengine wanataabika mjini tulikemee kwa nguvu zetu zote haya ndio mapungufu makubwa kwenye katiba iliyopo.
MFANO.mtumishi wa umma kuwa na vyeo zaidi ya kimoja kulipwa na hazina wakati wengine wanataabika mjini tulikemee kwa nguvu zetu zote haya ndio mapungufu makubwa kwenye katiba iliyopo.
M mageuzi1992 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2010 Posts 2,502 Reaction score 256 Jul 19, 2012 #2 Wajameni tuliongee hili kwenye mchakato wa katiba! Mathalani mbunge-asiwe mkuu wa mkoa au wilaya spika wa bunge asiwe na chama etc
Wajameni tuliongee hili kwenye mchakato wa katiba! Mathalani mbunge-asiwe mkuu wa mkoa au wilaya spika wa bunge asiwe na chama etc